House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU MOJA NDIO IPO WAZI KODI 300,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#UMEME LUKU YAKO
#FENCE INAMALIZIWA KUJENGWA PAKING SPACE
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347