House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location ubungo Riva said Kibangu dakika 15 kutembea mpaka home
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Nyumba itakuwa wazi tarehe 1/1/2025 kuona nyumba na kulipia ni rukusa kabisa
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128