House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


๐น๐ฟHouse For Sale
Unaweza Ukapitia Kwa AWAMU MBILI ๐ค
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
Price: Mil. 130,000,000
Mazungumzo Yapo Boss ๐ฐโ๏ธ
๐Ukubwa Wa Eneo SQMETER 950
๐Ina HATI MILIKI KUTOKA WIZARA YA ARDHI ๐
๐Hii Nyumba NI Ya Mtu Binafsi Siyo Ya URITHI ๐ค
Nyumba Ina Eneo Kubwa Na Vyumba Vya Kupangisha
KARIBU SANA ๐ค
Service Charge 30,000/=
O677370515