House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 250k #Mpyaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaj 700 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 700 Barabara Mpya
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa Sanaa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa Master
โข Jiko Zuri
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
MAJI DAWASA NI FREE
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo
Contact us:-
0716223412
0683597453