House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
----------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUWA
#UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL.
#USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 10 HADI KWENYE NYUMBA.
JINSI ILIVYO =
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#FULL TILLES
#ALUMINIUM SLIDE WINDOWS
#LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI YA WAYA GETI ALIJAWEKWA
------
#KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
---------
NOTE=
NYUMBA ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU 29/2/2024##KWA MPANGAJI MWENYE GARI BARABARA NI CHANGAMOTO
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796whtsp
#0712348316Whatsp