House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO UBUNGO EXTERNAL
NYUMBA INA CHUMBA' SEBULE' CHOO NA JIKO
IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI
INAJITEGEMEA UMEME MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 350000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6.... BILL ZA MAJI ANALIPA MWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SURVEY CHARGE NI 20000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347