House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


INAKUA WAZI J PILI TAR 03/03/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA RUKSA \n\nNI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
#UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA KARIBU KABISA NA STEND YA DALADALA NA BAJAJI
#KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI
#ZIPO APARTMENT 3 KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
#INA TILLES
#GYPSUM
#ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA
#UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
#SERVICER_CHARGER_15000 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA \n\nBILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796
#0712348316WhatsAp