House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


MPYA MPYA CHUMBA MASTER SEBRE JIKO BEI 200K
sifa ya nyumba
#master kubwa
#sebre kubwa
#jiko zuri la kisasa full makabati
#umeme na maji inajitegemea
#maji dawasa yanafroo ndani
location ubungo makoka Usafiri bajaji 700 ukishuka unatembea dk 5 kwa mguu
mazingira mazuri sana nyumba haiko kwenye fensi mazingira mazuri sana
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
piga cm chapu tumalize biashara
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347