House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment MPYA inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk 12-15 kwa kutembea
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI
MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PAVING BLOCK
PARKING YAKUTOSHA
Kodi 400,000\/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712500602
07 55336565
NOTE \/ KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 20