House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO - 500k, (Full Ac)
Furahia Maisha Bora Ubungo Kibo
Maelezo ya Nyumba
• Master Bedroom
• Sebule kubwa
• Jiko Open
• Nyumba ipo dakika tano kutembea
Bei na Masharti
• Kodi: 500,000 kwa mwezi
• Malipo: Miezi 3
• Security deposit: one month
NOTE: AirBnB Allowed
Gharama za Ziada
• Service charge: 20,000 Tsh (inalipwa mara moja tu)
• Commission ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali
Ubungo kibo
Kwa Mawasiliano Zaidi
• WhatsApp/Piga Simu: +0677370515
Njoo ujionee nyumba nzuri na upate maisha