House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


📣 Inapangishwa UBUNGO KIBO MSEWE
📍 Kodi ni Tshs 190,000/= *4 (180k anaweza Chukua)
#Nyumba Inagusa Lami
_____
_________
• Chumba Master Kubwa Sanaa
• Sink la kuoshea Vyombo
* UMEME Sub-Miter
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Maji Ndani
#Nyumba Inagusa Lami iendayo Chuo (UDSM)
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tshs 180,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 15,000/=
№: 0753 172 516