House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


##OFA OFA OFA NIMEISHUSHA KODI KIDOGO KUTOKA 250K HADI 230X6
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 230X6
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
KODI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DAINING JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
#0769680796whtsp
#0712348316Whatsp