House for Rent at Ukumbi, Iringa


ENEO LINAKODISHWA BOKO Dar-Es-Salaam Tanzania
Eneo linakodishwa lipo Boko Chama linaangalia barabara ya lami.
Kodi: 5,000,000.
Ukubwa
Square meters 1132 .
*TITLE DEED* (hati miliki ya wizara ipo).
Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote
Yard na ofisi
Ukumbi au kumbi za starehe
Showroom
Apartments
Night clubs
Duka la vifaa vya ujenzi
Guest and lodge house
Kituo Cha Mafuta (Petrol station)
Bar na restaurant
Supermarket e.t.c
Kwa mawasiliano zaidi piga /whatsapp 0715 919 296