House for rent at Uwanjani, Songwe


IPO WAZI SASA ( NOW IS OPEN )
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
PIGA SIMU 0755831740
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5 
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE. 
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 TU UMEFIKA 
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER 
MASTER NO.A CHOO CHA KUKAAA
MASTER NO.B CHOO CHA KUCHUCHUMA
MTEJA ASITOE SABABU KUUSU CHOO
SEBULE KUBWA 
DINING TABLE 
JIKO ZURI KUBWA
UMEME LUKU YAKE 
MAJI MITA YAKE 
PACKING SPACE KUBWA 
UWANJANI PAVING BLOCK 
FENCE YA UMEME 
USALAMA WA KUTOSHA
MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 400000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA




















