House for rent at Uwanjani, Songwe


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 TU KWA MIGUU 
SIFA ZAKE:
IPO NDANI YA FENCE 
GARI HULAZI NDANI 
USALAMA WA KUTOSHA
VYUMBA 2 VYA KULALA 
SEBULE
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI 
UWANJANI PAVING BLOCK 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 270000 X 4 MPAKA 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087




















