House for rent at Wazo, Dar Es Salaam


๐๏ธSTAND ALONE FOR RENT _500,000 X6 _4 BEDROOM_1MASTER SEBLE JIKO_IPO TEGETA WAZO HILL (MSIGANI
___________
๐ฅ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐น๐ฟ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO TEGETA WAZO HILL (MAENEO YA MSIGANI) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
_______________________________________________________
๐ALL+255 679 897 628/WSP DLL SD660 TDSM TZ๐น๐ฟ๐ฅ