House for rent at Wazo, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa ina vyumba vinne vya kulala viwil ni muster pia ina public toilet jikoni kuna makabart ina full pever ina garden ina full a/c nyumba inajitegemea bei kwa mwezi ni million 2.5 nyumba ipo Tegeta Wazo Madale piga sim kwa mawasiliano 0715422099
0784422099/0746218111