House for sale at Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA IMESHUKA BEI 30 MILIONI TU IPO CHANIKA CENTER
Features.......
Vyumba vitatu
Master Moja
Sebule, dining
Kitchen
Public toilet
Eneo square meters 400
Umeme upo, maji yapo
Kwenye Mtaa wenye mpangilio mzuri
Huduma za jamii zote zipo
Ipo Chanika Center Ilala Dar es Salaam
Call WhatsApp 0713066000 0753066000
Karibu dalalimsomipuguchanika tukuhudumie kwa huduma bora uhakika na uaminifu.
Mteja Kwetu ni Mfalme.
NOTE: Service Charge 20k..