House for sale at Gongo La Mboto, Dar Es Salaam





📌NI OFA YA MUDA MFUPI TU... UKICHELEWA BEI INAPANDA📌
Nyumba inauzwa mongo la ndege
Unaweza pitia Gongo la mboto au kinyerezi, au Banana (majumba sita)
👉BEI MILION 38 MAONGEZI YAPO👈
Vyumba vya kulala ni VIWILI
FREMU TATU ZA BIASHARA (zina wapangaji zote)
Tailz jipsam umeme
Whatsap au piga. 0673601114