House for sale at Ipagala, Dodoma


NYUMBA INAUZWA AREA "E"(KARIBU NA UWANJA WA NDEGE).
WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU KWAKO KUPATA KIWANJA KWASASA AU KWA BEI NAFUU UKILINGANISHA NA NYUMBA HII INAVYOUZWA
__________
MAHALI-AREA "E "IPAGALA NYUMBA INATAZAMA BARABARA KUBWA YA DAR-ROAD
__________
UKUBWA WA KIWANJA-600SQM
_________
MUUNDO WA NYUMBA
-VYUMBA 04 VYA KULALA(01 MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-PUBLIC TOILET
NB :NYUMBA NDOGO ZA PEMBENI ZINA WAPANGAJI TAYARI
_________
DOCUMENT-HATI
__________
BEI -180M(MAZUNGUMZO YAPO
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
__________
NA NYUMBA HII INAUZWA BEI RAFIKI LETA OFA TUKAE MEZANI TUMALIZE JAMBO
NB-MAREKEBISHO NI MADOGO SANA