House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam







HII SIYO YA KUKOSA
HILI NI JENGO KUBWA LA KISASA GHOROFA LINAUZWA
LUGULUNI KIBAMBA D.S.M.Tz
SIFA ^^
JENGO HILI LINAVYUMBA 26 VYOTE NI MASTER BEDROOMS, SEHEMU YA CHAKULA
JENGO HILI LIKO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAHA
UMBALI MITA 900 KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI YAKE NI BILLION 2.3 MAZUNGUMZO
UMILIKI HATI SAFI (TITLE DEED)
UKUBWA WA ENEO SQM 4300
JENGO HILI NI IMARA, NA UNAWEZA KUBADIRISHA MATUMIZI VYOVYOTE UTAKAVYO NDUGU MTEJA.
KARIBU MTEJA UKAGUE
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363