House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Kigamboni Chekechea
šBEI MILION 50 MAONGEZ YAPO KIASš
Ina vyumba v4 na kimoja masta
Siting na dining
Jiko tailz jipsam
Public toilet
Ina parking kubwa
Eneo sqm 425 (makadilio)
Nyaraka ni ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga