House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


For sale: Nyumba ya Ghorofa inauzwa Kigamboni Kibada: Tsh 600M negotiable.
*Distance* Kutoka lami ni Meter 300 mpaka kwenye nyumba.
-Nyumba ina vyumba v6 vya kulala, master bedroom moja, sitting room, dining room, kitchen, public toilet, stoo.
-Plot size Sqm 1,500
-Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 600 maongezi yapo*
Contact: