House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa kigamboni
Mahali; Kigamboni#GezaBlock24
Ilivyo;,, Ina vyukba vitatu vya kulala, kimoja ni master, sebule, dining, publictoilet, jiko, full A.C,
*Nyumba bado mpya kabisa, maji ya kisima, umeme, garden, choo cha nje, #ElectricFance & perving
*Ukubwa wa Eneo lake; #Sqm346 pamepimwa na hati yake ni ya wizarani
*Umbali kutoka ferry ni km14 na kutoka lami hadi kwenye nyumba ni km1.5
*Bei; Millioni mia mbili na ishirini (220Million za kitanzania)
*Kwa mahitaji na maelezo zaidi nipigie kupitia namba 0656775637 & 0755489848


















