House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI MJENGO WA KISASA INAUZWA KIMARA SUKA GOLANI UNFINISHED YENYE SIFA HIZI###
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC*****
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500 PAMEPIMWA
UMEME NA MAJI YAPO JILANI*** UMBALI TOKA LAMI MORO ROAD KM 3
BEI ML 38 MAONGEZI YAPO
0679447338
0753454167