House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
HII NI APARTIMENT 3 MOJA WAPO IPO WAZI INAPANGISHWA
BEI 250000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE JIKO UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
UMEME MITA YAKO MAJI MITA YAKO
HII NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 2 TU
USAFI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO
UKISHUKA TU UNATEMBEA DK3 KUFIKA KWENYENYUMBA
GARI UNALAZA KANISANI
NO PARKING WAI CHAPU SIO YA KUCHELEWA
TATIZO NJIA YA GARI SIO LAFIKI
NJOO ULIPIE NYUMBA NI KUBWA NZURI
service survey charge elfu 20 cash
piga sim usitume sma utachelewa kujibiwa
DALALI MTU MUHIMU DALALI AHESHIMIWE
0713661530_0783661530