House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


๐ฅStand Alone (nyumba Inajitegemea Yenyewe kwenye Fensi) #420,000/= *6
#KIMARA KOROGWE 
______
__
โข Vyumba 2 vya Kulala (Kimojawapo Master Kubwa)
โข Sebule Kubwa Sana
โข Jiko Kubwa Lenye Makabati
โข Public Toilet 
* Paving blocks
* Reserve Tank la Maji
* Inajitegemea IMEME na MAJI 
* Maji yanatoka ndani 
* Ndani ya fensi
#Umbali wa KM 1.6, Bajaji 500/=, ukishuka unatembea dk 6 tu 
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 420,000/=
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516




















