House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 HADI APO BEI SHILLING 400,000/=×6
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala kimoja ni master bedroom Sebule kubwa na jiko zuri lenye makabati
Inajitegemea umeme na maji
Nyumba mpya unazindua mwenyewe
Kupelekwa kuona nyumba Shilling 15,000/=
☆
#0785889413