House for sale at Kinondoni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa, 
Ipo kinondoni mkwajuni, 
Upande wa kulia ukielekea Morocco. 
Kwa sasa ni nyumba ya kulala wageni (guest house 🏠)
Ina vyumba 9,
Vyote ni master bedroom.
Niko la nje na reception. 
Bei mil 350 Maongezi yapo.
Mawasiliano 0679 077638




















