House for sale at Kitunda, Dar Es Salaam







BEI IMESHUKA KWA SASA NI MILION 35 (mwanzo ilikuwa 55)
Ipo kitunda machimbo H/jiji ilala
πBei Milion 35
Vyumba jumla ni v4 na kimoja masta
(Yaan nyumba kubwa v3 na nje kimoja)
Dining, siting, stoo, jiko, umeme
Jipsam maji, perving, Tailiz
NA A.C IPO (kiyoyozi)
Garden (urembo) nzuri tena kuuubwa
ENEO MITA 30 KWA 25
Unatembea dakika 3 tu had stend
Whatsap au piga
MILIONI 35
PIGA 0719514377