House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI, FREMU 4, TSHS.76 MILIONI, KIVULE.
Eneo ni maarufu kama kwa MPEMBA.
Gari moja tu kufika Mjini.
Nyumba kubwa ina jumla ya vyumba vya kulala 4,
Masta ni moja. Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna nyumba ambayo haijakamilika inayojitegemea.
Pamoja hivyo vyote kuna Maduka/Fremu za Biashara 4.
Ndani ya Fensi na Parking ni ya kutosha.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 460.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mskv