House for sale at Makumbusho, Dar Es Salaam


🇹🇿Nyumba inauzwa,
iko Makumbusho Akachube road mtaa wa Capricon.
Nyumba ina square meter 400 na hati mkononi.
Nyumba inauzwa sh 850 Million za kitanzania, maongezi yapo.
Kwa maongezi zaidi piga simu
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp


















