House for sale at Mapinga, Pwani


Nyumba inauzwa 
Ipo mapinga / shule 
Uwanja sqmt 850
Umiliki Hati safi
Ina vyumba vitatu vya kulala  master moja na sebule na dainingi 
Jiko  na choo cha wageni 
Pia kuna nyumba Za wapangaji kwa nyuma zenye chumba sebule zipo mbili Pamoja na Single room moja. Maji dawasa 
Pia Pana pana kisima cha maji safi
Bei tsh 130 milion maongezi yatawepo. Baada ya mteja kupenda 
Nyumba kwenda kukagua nyumba 
Tunachaji sh 30000 
Piga  0747196597 Whatsapp
  0718618508
  0696288247




















