House for sale at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA ZIKO 2 ZINAUZWA KATIKA KIWANJA KIMOJA AREA C KARIBU NA TOWN
WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU KWAKO KUPATA KIWANJA KWASASA AU KWA BEI NAFUU UKILINGANISHA NA NYUMBA HII INAVYOUZWA
__________
MAHALI-AREA C (AIRPOT)MWANZO KABISA
__________
UKUBWA WA KIWANJA-230SQM
_________
MUUNDO WA NYUMBA YA KWANZA
-VYUMBA 02 VYA KULALA(HAKUNA MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-PUBLIC TOILET
_________
DOCUMENT-HATI
__________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
_________________________
BEI-45M
___________________________________
NB-BEI YA KIWANJA TU MTAA HUU NI ZAIDI YA MILIONI 30
NA NYUMBA HII INAUZWA BEI NDOGO SANA
__________
MAWASILIANO
0675228261
0672370722