House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO MBAGALA CHAMAZI WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SAALAM
BEI TSH MILION 75 MAONGEZI YAPO
UMILIKI:MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
NYUMBA INA VYUMBA 4 VYA KULALA
VYUMBA VIWILI MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
JIKO
STORE
CHOO CHA PUBLICK
INA FENCE NYUMBA NZIMA
INA PARKING KUBWA YAKUKAA GARI NDOGO SITA
INA UMEME NA MAJI
KWA MAELEZO ZAID PIGA NAMBA HIZIII.
0652912222
0782414315