House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 55 TU
NYUMBA NI YA KISASA KABISA IME JENGWA VZURI SANA NI NYUMBA YA KISASA KABISA
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA VIGOA
NYUMBA KALLI SANA INA VYUMBA VNNE VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER β¬οΈ 360
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO JILANI KABISA NA BARA BARA KUU YA LAMI SEKUNDE 15 TU
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175. 0652 618 143 π