House for sale at Mikocheni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM NJIA PANDA YA ITV
➡️ Nyumba ina vyumba vitano vya kulala vyote vyenye choo na Bafu
➡️Nyumba ina Sebule mbili, Jiko, Sehemu ya chakula, stoo, chumba cha kufulia na sehemu ya Tenki za maji
➡️Nyumba ina sehemu ya kuhifadhi Magari (Magari mpaka 7)
➡️ Nyumba ipo karibu na Shule ya Alfa hapa mikocheni mtaa wa ufundi.
➡️ Nyumba inahitaji maboresho makubwa ndani na nje ili iwe ya kisasa na yenye hadhi, ( maboresho yanayohitajika mpaka sasa ni maboresho ya mifumo ya maji, rangi na tofali za chini uwani
BEI YAKE:
Nyumba inauzwa Pesa Taslimu za Kitanzania TSH 750 milioni Maongezi yapo kidogo