House for sale at Mjini, Ruvuma
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU INAUZWA
BEI NI MILIONI 170
IPO BOKO BASIHAYA UPANDE WA JUU UKIWA UNATOKEA MJINI NI MKONO WAKO WA KUSHOTO
UKUBWA WA ENEO SQMT 400 KUMESHAPIMWA NA KUNA MAWE ( SALES AGREEMENT KUTOKA SERIKALI YA MTAA )
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA CHUMBA KIMOJA NI
MASTER
PUBLICK TOILET
SEBULE
DINING
JIKO
VYUMBANI MAKABATI
FUL A/C
FENI VYUMBANI NA SEBULENI
ELETRICK FENCE
NK..........................................
NYUMBA HAINA MIGOGORO YOYOTE WALA DENI LOLOTE
NYUMBA IPO SEGEMU NZULI SANA NA IPO MTAA MZULI SANA
Cal
0717671240 au what's up 👍