House for sale at Msongola, Dar Es Salaam
Nyumba kalli sana wadau wangu bonge la jumba ipo kitonga msongola jiji la dar es Salam wilsya ilala Nyumba ina uzwa tsh mil 60 tu
Ina vyumba vya kulala vitatu kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Ukubwa wa eneo square mitar 810 ina document yamsuziano ya office ya serikali ya mtaa
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 6 tu
Njoo uone live mdau wangu kama kweli una itaji nyumba kalli nipigie cm au nicheki whatspp 9759203175. 0652618143