House for sale in Msongola, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI, TSHS.40 MILIONI,MSONGOLA.
Jumla kuna vyumba 9 (Masta 1)
Ndani ya Fensi.
Gari moja hadi Mjini na jirani na Kituo cha Daladala.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mskv



















