House for sale at Msongola, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Msongola wilaya ya ilala dar
👉BEI MILION 36 inapungua kias👈
Vyumba jumla v4
Sebule jiko na masta
FREMU MOJA
Tailz jipsam maji umeme
Fens ipo
Gari moja had mjini
Unatembea tu had stend
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Full perving
INA KISIMA CHA MAJI
Whatsap au piga
0746 433 854