House for sale at Sinza, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA - SINZA MADUKANI
Ipo kwenye mtaa wa kwanza kutoka barabarani, nyumba hii imejengwa kwa mtindo wa kifahari wa master-master ikiwa na vyumba 6 vya en-suite (master bedrooms), ikikupa faragha na nafasi ya kutosha kwa familia yako. Nyumba ipo hatua za mwisho kwenye finishing, hivyo unayo nafasi ya kuleta ladha yako ya kipekee.
Bei: Milioni 250
Hati miliki: Ipo tayari, rahisi kuhamisha
Gharama ya Kukagua: TZS 50,000
Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba yenye mpangilio wa kisasa Sinza Madukani!
#NyumbaInauzwa #SinzaMadukani #MasterBedroom #NyumbaZaKifahari #FursaYaUmiliki #RealEstateTanzania#dalalisosotabata🔴⚪️☑️