House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZR YA KISASA INAUZWA BEI MILIONI 50 MAONGEZI YAPO
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 500 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
NYUMBA KUBWA INA
VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
SITING ROOM KUBWA & DAINING TABLE JIKO KUBWA LA KISASA PUBLIC TOILET MAJI DAWASCO UMEME VYOTE VIPO PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
NYUMBA INA DOCOMENT HALALI KUTOKA SERICAL ZA MTAA
ENEO LINAUKUBWQ WA SQUARE MITRE 400
SEVCHAGE 30000 KWENDA SAITY KUONA NYUMBA ZA KUNUNUA
0679 956 863
0759151524