House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


Hii master kubwa mmno na jiko la kisasa Yan chumba kimoja kikubwa chenye choo ndan na jiko la kisasa
Ubungo liver side dk2 kutoka lam
Nyumba ipo ndan ya fanc parkingu kubwa wahi
Kod 180000 x10 malipo kuanzia miez 10 tunashida na hela
Luku yako maji dawasco nyumba mpya unazindua
Kupelekwa kuona nyumba 15k ukilipia utatoa mwez tuu
0655256419