House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam







Nyumba zote MBILI zinauzwa Ukonga kwa Diwani (BOMBA MBILI) Ilala Dar
📌BEI MILION 55 MAONGEZ YAPO📌
Vyumba vya kulala jumla ni 7
✍️Nyumba kubwa inabvyymba v3 kimoja masta
Dining siting jiko, tailz jipsam maji umeme
✍️Nyumba ndogo vyumba v4
FENS KOTE
Eneo sqm 450 makadilio
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga
0788156493
0760053111
0614130017