House for sale in Ukonga, Dar Es Salaam






Nyumba inauzwa Ukonga Bomba mbili stend wilaya ya ilala Dar
📌BEI MILION 18 (usiogope)
Vyumba vipo 6 kimoja masta (PIA WAWEZA KUFANYA IKAWA NYUMBA YA FAMILIA)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 300 (makadilio)
Unatembea tu had stend
Gari inafika
Whatsap au piga 0673 601 114




















