1 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam







CHUMBA_MASTA_NA_JIKO GOBA CENTER MITA 500 TOKA #LAMI
💧Location ::GOBA CENTRE
💧Bei :: 320,000 Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja ambacho ni Masta
📍Jiko
📍Fence
📍 A/C
📍Feni
📍Umeme wako
📍 Parking kubwa
📍Choo cha nje
📍Sehemu ya washing machine
📍 Garden safi
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0677445508