1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location darajani
<> nyumba ina chumba kimoja master
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba nzuri na safi
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba ni apartment
<> asking price 100k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837