1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(260,000 Γ 6) π¨ππ¨π‘ππ’ π πππ’ππ ππͺπ π ππ¨πͺπ
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Ukishuka kwenye Bajaji unatembea Dakika 4 kwa Miguu kutoka Barabara ya Rami inayotokea KOROGWE Kwenda EXTERNAL
Njia zote Barabara ni π na Nyumba ni MPYA Zipo Hatua ya Mwisho
============
β’ Chumba Kimoja Kikubwa Master
β’ Sebule Kubwa
β’ Jiko lake Kubwa la Kisasa
β’ Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
Tsh. 260,000/- Malipo Miezi 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300