1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA JIKO "SINGLE"
KIZURI SAANA NDANI YA FENCE
KINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 60K X6//
ILIPWE ELFU STINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA.
#NYUMBA HII IPO NDANI YA FENCE
#LAKINI HAILAZI GARI.
#TILES/ GIPSUM
#ALMINIUM
#MAJI SAFI DAWASA
#JIKO SAFI NDANI
#UMEME WANASHARE W4.
#CHOO WANASHARE W2.
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
BAJAJI TSH 1,000/=
BODA TSH 15,00/=
NOTE:: CHUMBA NI CHA NJE📌
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SAANA..
CALL 0659244543